Google — Year in Search 2020

Google — Year in Search 2020

SUBTITLE'S INFO:

Language: Kiswahili

Type: Human

Number of phrases: 77

Number of words: 758

Number of symbols: 4603

DOWNLOAD SUBTITLES:

DOWNLOAD AUDIO AND VIDEO:

SUBTITLES:

Subtitles prepared by human
00:01
[muziki usiosisimua unasikika] [sauti ya msimulizi wa kiume] Hulka dhahiri zaidi ya binadamu ni kutaka kujua kwa nini. ["kwa nini"] ["kwa nini"] Na katika mwaka ulioathiri kila mtu kote ulimwenguni, Neno “kwa nini” lilitafutwa zaidi sana. [sauti nyingi zinasikika zikiuliza maswali katika lugha mbalimbali] [muziki unasita ghafla] [wimbo wa kuhuzunisha unaanza kuimbwa] ["kwa nini inajulikana kama covid-19"] [sauti ya mwanahabari wa kike wa Uingereza] Msambao wa virusi vya corona umekithiri mno. [sauti ya msimulizi wa kiume] Na japo hatukupata majibu yote, [muziki wa taratibu, kisha wa sauti ya juu unasikika] tulizidi kuuliza maswali. ["je, kwa nini mirihi ni nyekundu"] [sauti ya mtangazaji wa kike] Kupaa kwa roketi! ["kwa nini kimelea ni kiumbe kizuri"] [sauti ya msimulizi wa kiume] Baadhi ya maswali yalizua furaha. Mengine, yalisisimua. [shangwe za ghafla zinasikika] ["kwa nini nba iliahirishwa"] [JaVale McGee] Life in the Bubble. Whoo! — Je, wanipenda? — Ndiyo. — Je, Wanipenda? — Ndiyo. [akizungumza kwa lafudhi ya Uingereza] Sijui akisami isiyo kamili ni nini. ["je, kwa nini nimechoka sana"] Sijui akisami isiyo kamili ni nini. Jiepushe na usumbufu huu wote ["kwa nini karatasi za sashi hazipatikani"] — Tumepata karatasi za sashi. — Asante Mungu! Iwashe hapo, na kisha uiachilie. [sauti ya Leslie Jordan] Mnafanya nini? [mwanamme na mvulana wanashangilia] Bado ni mwezi Machi. Mwezi Machi ina ... siku ngapi? [muziki unasita ghafla] [sauti ya msimulizi wa kiume] Kuna maswali yaliyotufanya tulie. [wimbo wa kuhuzunisha unaanza kuimbwa] [sauti yake Kobe Bryant] Mnafahamu kuwa tumepitia mazuri na magumu.
01:03
Naamini kuwa cha muhimu zaidi ni kuwa tudumishe umoja wakati wowote. [umati unashangilia] Nawapenda! ["kwa nini australia kunachomeka"] [sauti ya msimulizi wa kiume] Mengine yalitututia wasiwasi kuhusu ulimwengu huu kigeugeu tunaoita nyumbani. ["kwa nini kuna mioto mingi"] ulimwengu huu kigeugeu tunaoita nyumbani. ["kwa nini kuna mioto mingi"] [sauti ya mtangazaji wa kike] Mioto iligunduliwa kwenye msitu wa Amazon. ["kwa nini anga ina rangi ya machungwa"] [sauti ya mtangazaji wa kike] Mioto iligunduliwa kwenye msitu wa Amazon. [sauti ya msimulizi wa kiume] Kwa nini watu wengi walipoteza maisha? [sauti ya mwanahabari wa kike wa Uingereza] Takriban watu milioni 1.5 wamefariki kufikia sasa kutokana na COVID-19 kote ulimwenguni. ["kwa nini"] [sauti ya msimulizi wa kiume] Kwa nini bado tunauliza maswali yale yale? ["kwa nini watu wanaandamana"] [wanahabari wengi wakimtaja "George Floyd"] ["kwa nini watu wanaandamana"] [sauti ya mtangazaji wa kike] George Floyd aliwaambia maafisa mara kadhaa kuwa alishindwa kupumua. [sauti ya msimulizi wa kiume] Je, kwa nini hatujakata tamaa? [wanakwaya wanaanza kuimba taratibu “Get it together somehow”] [sauti ya mwandamanaji wa kike] Naamini uwezo wenu. ["kwa nini maisha ya watu weusi ni muhimu"] [umati unapaza sauti kwa pamoja] Naamini uwezo wenu. ["kwa nini maisha ya watu weusi ni muhimu"] Naamini uwezo wenu. [umati unapaza sauti kwa pamoja] Naamini uwezo wenu. [sauti ya mtangazaji wa kike] Kauli ya "Maisha ya Watu Weusi ni Muhimu" inasisitizwa na maelfu ya waandamanaji ["Rio de Janeiro, London, Sydney, Helsinki"] [umati unasema kwa kauli moja "Maisha ya Watu Weusi ni Muhimu"] katika miji kote ulimwenguni. [sauti ya msimulizi wa kiume] Kwa nini bado tunapiga hatua mbele? [sauti yake John Lewis] Tumapiga hatua kubwa mno, na hatutarudi nyuma Tunasonga mbele. [sauti ya mtangazaji wa kike] Ndege zinaaza kuwasili Beirut, [wanakwaya wanaimba kwa sauti ya juu zaidi, wakirudia “Get it together somehow”] na msaada tele wa kimataifa. [sauti ya mtangazaji wa kike] Wazimamoto kutoka kote ulimwenguni waliwasilini mjini California.
02:09
[sauti ya mtangazaji wa kike] Kuna zaidi ya chanjo 100 zinazovumbuliwa kote ulimwenguni. ["kwa nini ni muhimu kuwa na huruma"] [sauti ya mtangazaji wa kiume] Hii ni moja ya nyakati ambazo watu ["kwa nini ni muhimu kuwa na huruma"] wanajuliana hali na kusaidiana. [sauti ya msimulizi wa kiume] Kila wakati tunaenda kutafuta usaidizi kwa wale waliotuelekeza. [Ruth Bader Ginsburg] Fikiria kuhusu namna ungependa ulimwengu uwe kwa mabinti wako na wajukuu wako wa kike. ["kwa nini demokrasia ni muhimu"] [sauti yake Chadwick Boseman inasikika] Kumbuka changamoto unazokumbana nazo ni vya kufanya ufikie kusudi lako. Songa mbele kwa ujasiri. Na usonge mbele kwa kusudi. [sauti ya msimulizi wa kiume] Kwa nini mwaka huu ulikuwa na matatizo mengi, ["kwa nini watu huota"] na bado tulipata njia za kushinda? [sauti ya mtangazaji wa wa spoti wa kike] Ujuzi uliyoje kutoka kwa Maya Gabeira. [sauti ya mtangazaji wa wa spoti wa kike] Naomi Osaka. Michuano ya Ubingwa wa Mpira wa Gofu Marekani. [sauti ya mtangazaji wa kiume] Usikubali kushindwa na virusi vya corona. [sauti ya muziki unaongezeka] Usikubali kuzuiliwa na karatini. [sauti ya msimulizi wa kiume] Kwa hivyo hadi tupate majibu ya maswali yote ... [muziki unaisha kwa sauti ya wanakwaya “We will get it together somehow”] ["Endelea kutafuta."] …bado tunatafuta.

DOWNLOAD SUBTITLES: